ETH amebadilisha Sana nidhamu pale Manchester united na amewapa kombe la kwanza baada ya miaka 6

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Ten amebadirisha Sana nidhamu pale Manchester United na ameweza kuifundisha team iingie kwenye mfumo wake, Ten ni muumini wa mpira unaoanzishwa na viungo wakati na wing mmoja.

Unamuona anaifanya team ishambulie kutoka katikati kwenda pembeni nakurudi Kati kwa mafanikio makubwa

Akipewa pesa ya usajiri ataifikisha mbali Sana team kwa mechi ya Leo aliingia kushinda akafunguka akapata goli mbili mapema japo tumekosa magoli mengi Sana.

Second alipoona Newcastle anakuja Sana akaona awaache wacheze yeye atawashtukiza kwa mipira mirefu na aliweza japo haikuzaa goli.

Dakika za Mwisho akaona akabe zaidi akatoa viungo akaingiza viungo wakabaji zaidi akafanikiwa zaidi kuwazuia Newcastle.

Ameshinda Ten Hag kwani mbinu yake imeleta matokeo zaidi.

F1D7A03B-152D-48DE-AAB1-C414BA10CE4B.jpeg89328E96-82B9-4FE4-B8BC-94815EE204BF.jpeg
 
  • Like
Reactions: jamal and JohBwax

JohBwax

Mgeni
Nov 4, 2022
84
72
5
Namuangalia Varane na Martinez...Af nakumbuka Maguire na Lindelof

Namuangalia Casemiro na Eriksen/Fred...af namkumbuka Tommy na Fred/Pogba

OYAAA AMBIA MAJIRANI TUMEJITAFTA TUKAJISOMA DADEKIII
 

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Maguire anawambia Nyie nipigienj tu kelele laki makwapa nitanyanyua mpende msipende timu una Casimero una Varani una Martinez una Bruno una Rashford usinyanyue kombe hata mmoja?
 

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Newcastle walionekana kama hawalitaki hili kombe, sio kwa ubaya lakn hawajacheza vizuri kama siku za nyuma kipindi wanazifunga timu kubwa, ETH bado anakuwa mzuri sanaa kwenye kubuild United, wakiwa na mpira anawaambia watulie and yes United inafanikiwa kumiliki mpira kwa kiasi fulani japo hatujazoea 😂