Ten amebadirisha Sana nidhamu pale Manchester United na ameweza kuifundisha team iingie kwenye mfumo wake, Ten ni muumini wa mpira unaoanzishwa na viungo wakati na wing mmoja.
Unamuona anaifanya team ishambulie kutoka katikati kwenda pembeni nakurudi Kati kwa mafanikio makubwa
Akipewa pesa ya usajiri ataifikisha mbali Sana team kwa mechi ya Leo aliingia kushinda akafunguka akapata goli mbili mapema japo tumekosa magoli mengi Sana.
Second alipoona Newcastle anakuja Sana akaona awaache wacheze yeye atawashtukiza kwa mipira mirefu na aliweza japo haikuzaa goli.
Dakika za Mwisho akaona akabe zaidi akatoa viungo akaingiza viungo wakabaji zaidi akafanikiwa zaidi kuwazuia Newcastle.
Ameshinda Ten Hag kwani mbinu yake imeleta matokeo zaidi.