Eti Wana Kijiweni Kwanini Ni Simba vs Yanga Na Sio Yanga vs Simba

matebu

Mgeni
Aug 8, 2024
6
1
5
Sababu kubwa inayopelekea kuwa hivyo ni muonekano wa mpangilio wa herufi.. ukianzia A-Z utangundua hili.. na ndio maana msimu mpya wa ligi kuu unapoanza utaikuta Yanga ipo chini kwenye msimamo.. wote wakiwa na alama 0 kwa 0..
Kwhy swala hili lisikuumize kichwa sana..🗣️ yapo mengi ya kuelezea ila kwa leo wacha niwaachie na wengine waelezee.🙏
Acha uongo
 
publoo

Mpiga Chabo
Sep 11, 2024
1
0
0
Mkuu embu eka mada ata kujadili mechi ya Jan tujue nn chanzo cha wachezaj wetu kuchez game bila dhamira maalumu.. coz wakishika mpira hawajui kipi ch kufanyaa
 
mumu_2045

Mpiga Chabo
Sep 11, 2024
1
0
0
Nimechunguza na kutambua kuwa watu wengi linapokuja suala la mechi ya watani wa jadi basi wengi wataanza kuitaja Simba kisha Yanga.

Yaani leo ni mechi ya Simba na Yanga. Yaani lazima Simba aanze kisha Yanga atafuata.

Hili lipoje huko kwenu na ni nini sababu ya hili kutokea.
Hata harusin wananza Kwa kusema mabibi na mabwana ko hapo utajua mwenyew yupi ni bibi yupi ni bwana
 
DOKO👽

Mpiga Chabo
Sep 11, 2024
1
0
0
Simba niteam kubwa af uksema yanga na simba kama haisaund hivi binafsi napenda kutamka simba vs yanga hata kama yanga nmwenyeji asee
Nimechunguza na kutambua kuwa watu wengi linapokuja suala la mechi ya watani wa jadi basi wengi wataanza kuitaja Simba kisha Yanga.

Yaani leo ni mechi ya Simba na Yanga. Yaani lazima Simba aanze kisha Yanga atafuata.

Hili lipoje huko kwenu na ni nini sababu ya hili kutokea.

Hapo me naonag mkubwa kwanza afu mdogo ndo anafuata shida kubwa siyo alphabet maan hta kwa Azam pia hua ina Anza Simba na Azamu ikiwa alphabetical A ina anza
 
Mrceltic

Mpiga Chabo
Jun 28, 2024
13
0
0
Apo kwasababu simba ndo anachukuliwa kama tim ya nyumban thats why jina lak lina anza😁✌️ amna cha ukubwa
 
Roy Creation

Mgeni
Jun 16, 2024
12
2
5
Nimechunguza na kutambua kuwa watu wengi linapokuja suala la mechi ya watani wa jadi basi wengi wataanza kuitaja Simba kisha Yanga.

Yaani leo ni mechi ya Simba na Yanga. Yaani lazima Simba aanze kisha Yanga atafuata.

Hili lipoje huko kwenu na ni nini sababu ya hili kutokea.
Always Lady is first msinitukane lakin
 
May 15, 2024
4
1
5
Sababu kuu NI wingi WA mashabiki Kwa Simba kuzoea kuanzia kutaja timu Yao coz ukisema SWALA ni mpangalio WA alfabet hebu chukulia yanga na Azam uanze kutaja Azam kama itasound gud au utaje Kagera na yanga haiwezekan lazma iwe yanga na Kagera so it's a matter of high number of fans
 
Atman

Mgeni
Sep 11, 2024
4
2
5
Nimechunguza na kutambua kuwa watu wengi linapokuja suala la mechi ya watani wa jadi basi wengi wataanza kuitaja Simba kisha Yanga.

Yaani leo ni mechi ya Simba na Yanga. Yaani lazima Simba aanze kisha Yanga atafuata.

Hili lipoje huko kwenu na ni nini sababu ya hili kutokea.
Kiutaratibu dunian kote jina la mtoto hutangulia kisha baba yake au ubin wake hivyo tuu.
 
NGUVUMALI

Mgeni
May 20, 2024
29
9
5
Kuanza na simba ni lahisi ndio maana ikawa simba na yanga jalibu ata wewe kusema yanga na simba alafu ujabu Tena simba na yanga uone nilipi linakaa