Fainali ya Mapinduzi Cup Singida Big Stars vs Mlandege

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Mpambano wa Mapinduzi Cup ya 2023 unafikia tamati leo, fainali ikipigwa pale Zanzibar ambao wanakutana Singida Big Stars SBS dhidi ya Mlandege FC

Ni tangu muda sasa mechi za Zanzibar kufikia Fainali hatimae msimu huuu wameweza kufika Fainali na mechi ya ligi kuu

Singida wana timu kubwa yenye uwezo mkubwa na wamekua serious sana na hili kombe la Mapinduzi walimtoa Yanga kwenye haya mashindano na wakamtoa Azam kwa kumchapa goli 4 Kazadi akihusika na magoli yote, sioni Mlandenge akitoboa mbele ya Singida ila mpira unadunda dakika 90

Binafsi nawapa Singida asilimia 70 japo hatujuii Mlandege amejipangaje ni mchuano mkali sana leo mida ya saa2:00 usiku 🔥
Singida vs Mlandege
B8C6810D-D417-4914-BA1A-CD1966EA8198.jpeg
 
McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131

View attachment 1031
Litakua bonge la match
 
sharon

Mgeni
Nov 4, 2022
105
89

Kombe la SBS hili
 
Azizi

Mgeni
Dec 13, 2022
38
26

Mpira wa sasa unaendelea kukua safi
 
Bangala

Mgeni
Dec 13, 2022
39
24

Singiga wasicheze hapa hili kombe hata