Mpambano wa Mapinduzi Cup ya 2023 unafikia tamati leo, fainali ikipigwa pale Zanzibar ambao wanakutana Singida Big Stars SBS dhidi ya Mlandege FC
Ni tangu muda sasa mechi za Zanzibar kufikia Fainali hatimae msimu huuu wameweza kufika Fainali na mechi ya ligi kuu
Singida wana timu kubwa yenye uwezo mkubwa na wamekua serious sana na hili kombe la Mapinduzi walimtoa Yanga kwenye haya mashindano na wakamtoa Azam kwa kumchapa goli 4 Kazadi akihusika na magoli yote, sioni Mlandenge akitoboa mbele ya Singida ila mpira unadunda dakika 90
Binafsi nawapa Singida asilimia 70 japo hatujuii Mlandege amejipangaje ni mchuano mkali sana leo mida ya saa2:00 usiku
Singida vs Mlandege