Hizi tetesi na habari kuhusu Feisal kiukweli zinanifrahisha unafki dhambi nimemmiss sana sitaki kujua kuhusu wengine lakini Feisal akirejea kikosini nimwone uwanjani ntafrahi sana habari zake zinanikonga moyo
Mimi kama shabiki wa Yanga namkaribisha kikosini kwenye timu kubwa tena na ntafrahi kumwona akiwa pamoja na wenzake
Kummiss mtu sio dhambi

Mimi kama shabiki wa Yanga namkaribisha kikosini kwenye timu kubwa tena na ntafrahi kumwona akiwa pamoja na wenzake
Kummiss mtu sio dhambi