Feisal Salum kurejea kikosini

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Hizi tetesi na habari kuhusu Feisal kiukweli zinanifrahisha unafki dhambi nimemmiss sana sitaki kujua kuhusu wengine lakini Feisal akirejea kikosini nimwone uwanjani ntafrahi sana habari zake zinanikonga moyo 😎

Mimi kama shabiki wa Yanga namkaribisha kikosini kwenye timu kubwa tena na ntafrahi kumwona akiwa pamoja na wenzake

Kummiss mtu sio dhambi
0C079568-2375-4257-AA0C-F99969BB15F4.jpeg
 
  • Like
Reactions: Ally R