FEITOTO Kwenda Simba Inawezekana Au Ni Stori Za Kupunguza Maumivu Ya CHAMA?

Abubakar miiraj

Mpiga Chabo
Jul 2, 2024
1
0
0
Inaataarifiwa katika Mitandao mbalimbali ya Kijamii kuwa Klabu ya Simba wako kwenye mazungumzo ya kina na Azam FC kukamilisha usajili wa Feitoto

Unadhani utakua Usajili Wa aina gani endapo ukitokea na kukamilika?
Bwana maamuzi tu ya wenye simba yao ndio itajulikana mbivu na mbichi
 
Skr_tz

Mgeni
Jul 2, 2024
10
4
5
Kimya kingi kinamshindo ngoja tuone wanangu
Akija itakua unyama mwingiiiiiiii!!!!!!!
Au sio wanamsimbazi......???!
 
Amiri

Mpiga Chabo
Jul 2, 2024
1
0
0
Inaataarifiwa katika Mitandao mbalimbali ya Kijamii kuwa Klabu ya Simba wako kwenye mazungumzo ya kina na Azam FC kukamilisha usajili wa Feitoto

Unadhani utakua Usajili Wa aina gani endapo ukitokea na kukamilika?
wakisasi tu
 
MR. VIP

Mgeni
May 17, 2024
25
3
5
Inaataarifiwa katika Mitandao mbalimbali ya Kijamii kuwa Klabu ya Simba wako kwenye mazungumzo ya kina na Azam FC kukamilisha usajili wa Feitoto

Unadhani utakua Usajili Wa aina gani endapo ukitokea na kukamilika?
Hakuna kisichoshindikana kama yanga waligoma namwishoe wakamwachia ije kuwa Azam?
Isipokuwa ninachokiona simba hawako seriously kumsajiri ni porojo tu.