Football na Sayans Football ni Sayansi

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Football na sayans

Kwenye vitabu United ilionekana Kama 4231 lakin kwenye kucheza United walikua 442 Bruno winga kulia Sancho kushoto weghorst na Rashford Kama washambuliaji wawili wa uongo maana akuna anae simama hapo mbele tukiwa tunakaba ni 433 Sancho anaingia ndan Rashford pemben kushoto Bruno anabaki kulia.

Balotell nimeona number wa wili Fred na weghorst chini yao Kuna casamiro 433 holding kazi ya Fred ni kuwaforce Barca wasitengeneza mashambuliz kuanzia Kat ndio maana de jong muda mwing alikua chin zaid coz Fred alikua ana gasi Sana huku weghorst alikua anakaa eneo lote ambalo Fred katoka kwenda kufanya pressing.

Huku Bruno wing yake kwenye kukaba ni kuzui pass ya mwisho kwa Pedri huku Casa akidili na Gavi ambae Xavi anamtumia Kama game changer dakika zote 90.

Casamiro kudili na Gavi ilikua ni kesi dogo Sana Kama Jana wote tulivyoona magoal yao walipata baada ya kuona United tupo sawa kote wakaja na plan B ya kumwaga maji na walifanikiwa Varane mrefu lakin sio mzur kuruka pia hivyo pia ata kwa Shaw kuruka na kimo chake mmmh

Lawama kubwa kwa Weghorst nafas kubwa aliyo kosa lakin pongez kwa golikipa msimu huu kwenye ligi ya Laliga pale Camp Nou Barcelona kafungwa goal moja tu

TUKUTANE OT TUMALIZE KAZI

1676616826205.png
 

Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
Ebwana upo sahihi kwenye kuruka man utd labda licha pale nyuma
Ila kwel Barca walipoteaana mpk wakawa wanamwaga majalo tu
 
  • Like
Reactions: Zawadi

Zawadi

Mgeni
Nov 4, 2022
41
17
5
Game ilikuwa tamu sana timu zote zimeimarika kila idara kwa sisi Man Utd bado tunaruhusu magoli sana bila shaka kocha atalifanyia kazi ila Marcus Rashford na Casemiro aise🙌 wapo 🔥🔥
 

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
watu wanaangalia tofaut Sana lakin sahv mpira ni sayans na sio talent zaman Kama ulikua auna talent ya kufunga Basi auwez kuwa number Tisa lakin now anachukulia Antony yule wa West Ham anawekwa Tisa na anatimiza majukum kila mechi kumbuka soka lake lote alikua mlinz