FT : AL Ahli Tripoli 0 Simba SC 0 | Mchezaji Gani Amekukosha Leo?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
278
395
25
Mchezo wa kwanza wa raundi ya pili Kombe la Shirikikisho Afrika kati ya Al Ahli Tripoli Dhidi ya Simba SC umemalizika kwa

Umeuonaje mchezo wa Leo? Una kipi Cha kusema mwekundu wa Kijiweni?
 
Makala_Martine

Mpiga Chabo
Sep 15, 2024
1
0
0
Mchezo wa kwanza wa raundi ya pili Kombe la Shirikikisho Afrika kati ya Al Ahli Tripoli Dhidi ya Simba SC umemalizika kwa

Umeuonaje mchezo wa Leo? Una kipi Cha kusema mwekundu wa Kijiweni?
Walionekana wakicheka jana kwamba wananchi wameambulia mil tano tu kwa gori la mama wao leo vipi
 
King Walter

Mpiga Chabo
Jun 15, 2024
3
1
0
Simba
Game ijayo tusipo kuwa makini wale jamaa watatuadhibu
Leo D Fernandez hakuwa na mchezo mzuri sana hivyo hivyo kwa Mutale na balua
Game ilimuhitaji creator mzuri ili tumalize mapema mchezo

A.A tripol
Hawa jamaa Wana Mpira mzuri pass zao Mpaka mikimbio hasa kwa mawinga
*Kuna winga mmoja upande wa kapombe yupo vizuri kwa kumimina maji 🔥

Umakini mwingi
Ubaya ubwela
NguvuMoja
#tukutaneLupaso
 
  • Like
Reactions: mkono