FT : AL Ahli Tripoli 0 Simba SC 0 | Mchezaji Gani Amekukosha Leo?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
480
640
125
Mchezo wa kwanza wa raundi ya pili Kombe la Shirikikisho Afrika kati ya Al Ahli Tripoli Dhidi ya Simba SC umemalizika kwa

Umeuonaje mchezo wa Leo? Una kipi Cha kusema mwekundu wa Kijiweni?
 

Makala_Martine

Mpiga Chabo
Sep 15, 2024
2
0
0
Mchezo wa kwanza wa raundi ya pili Kombe la Shirikikisho Afrika kati ya Al Ahli Tripoli Dhidi ya Simba SC umemalizika kwa

Umeuonaje mchezo wa Leo? Una kipi Cha kusema mwekundu wa Kijiweni?
Walionekana wakicheka jana kwamba wananchi wameambulia mil tano tu kwa gori la mama wao leo vipi
 

Robbrygo JR

Mgeni
May 20, 2024
18
10
5
Hongera kwa 🦁. Ni mwanzo mzuri katika mashindano. Kwa mkapa wahakikishe wanaumaliza mchezo mapema. All in all Camara bonge la kipa👏
 

King Walter

Mgeni
Jun 15, 2024
4
1
5
Simba
Game ijayo tusipo kuwa makini wale jamaa watatuadhibu
Leo D Fernandez hakuwa na mchezo mzuri sana hivyo hivyo kwa Mutale na balua
Game ilimuhitaji creator mzuri ili tumalize mapema mchezo

A.A tripol
Hawa jamaa Wana Mpira mzuri pass zao Mpaka mikimbio hasa kwa mawinga
*Kuna winga mmoja upande wa kapombe yupo vizuri kwa kumimina maji 🔥

Umakini mwingi
Ubaya ubwela
NguvuMoja
#tukutaneLupaso
 
  • Like
Reactions: mkono

0013fougher

Mpiga Chabo
Sep 15, 2024
10
0
0
Simba walipokuw wamebugi ni kumuacha kapombe alikuwa amezidiwa Hadi Kuna muda wapinzani wali2mia kama njia ya kufika langoni mwa simba