FT : AL Ahli Tripoli 0 Simba SC 0 | Mchezaji Gani Amekukosha Leo?

almada25

Mpiga Chabo
Sep 15, 2024
1
0
0
Mchezo wa kwanza wa raundi ya pili Kombe la Shirikikisho Afrika kati ya Al Ahli Tripoli Dhidi ya Simba SC umemalizika kwa

Umeuonaje mchezo wa Leo? Una kipi Cha kusema mwekundu wa Kijiweni?
Daah simba tulijilinda san ila mabululu na yule kwe... nan cjui wakuchugwaa
 
@waka20

Mpiga Chabo
Sep 16, 2024
2
0
0
Mchezo wa kwanza wa raundi ya pili Kombe la Shirikikisho Afrika kati ya Al Ahli Tripoli Dhidi ya Simba SC umemalizika kwa

Umeuonaje mchezo wa Leo? Una kipi Cha kusema mwekundu wa Kijiweni?
Ni aibu kubwa sana kwa timu kama Simba kumaliza dakika 90 bila hata ya ontaget ata moja daah nihuzun kwakwel sjui ata apa nyumban tutakuja kufanywa nn walah🤦🏿
 
Iddi mtani

Mpiga Chabo
Sep 16, 2024
1
0
0
Camara na fondoh malone, but next time wote wataupiga mwingi na kuibuka na ushindi, wapinzani wanajuah ila wamekutana na wanaojua piah...