FT : CBE SA 0 Yanga SC 1 | Wananchi Wa Kijiweni Mmeuonaje Mchezo Wa Leo? Nani Katisha Zaidi?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
278
395
25
Mchezo wa kwanza wa raundi ya pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya CBE SA dhidi ya Yanga SC umemalizika kwa Wananchi kuondoka na ushindi wa bao 1 lililofungwa na Prince Dube.

Wananchi Wa Kijiweni mmeuonaje mchezo wa Leo? Nani katisha zaidi?
 
  • Like
Reactions: Danielmakalah

xizzahmikel

Mgeni
Aug 25, 2024
3
1
5
Hapo sasa ndo club bingwa imeanza Acha akina vital O wa kuwafadhiri Hadi chai kama unashinda moja group stage pataongea sema sio kisa la yanga walifocus na kagoma ndo maana ushindi ni mwembamba ungezeni juhudi
 
imanu

Mpiga Chabo
Aug 17, 2024
5
0
0
For me!! yanga siwadai kitu! Maana goli Moja la ugenini Lina advantage kubwa sana kwenye michuano hii!!! Asa ngoja tumsubiri home!! Hakika atataga!!!!! Maana;; apo ngoja nikae kimya wakuu
 
donny

Mpiga Chabo
Sep 14, 2024
1
0
0
Yanga wamekuwa na mwendelezo mzur ingawa makali yamepungua kadri siku zinavozid kwend ila kwa sas ameshatanguliza mguu mmoja, wa pili ni nyumban, ingawa nimashindano, lolote linatokea
 
Yassoh kene

Mpiga Chabo
Sep 14, 2024
1
0
0
Mchezo wa kwanza wa raundi ya pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya CBE SA dhidi ya Yanga SC umemalizika kwa Wananchi kuondoka na ushindi wa bao 1 lililofungwa na Prince Dube.

Wananchi Wa Kijiweni mmeuonaje mchezo wa Leo? Nani katisha zaidi?
Yanga wamepana na kikubwa wamekipata japo Kuna nafasi zilipotezwa kuongeza idadi ya magili ila yote ushindi tumeupokea
 
Danielmakalah

Mpiga Chabo
Sep 14, 2024
2
0
0
Mchezo wa kwanza wa raundi ya pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya CBE SA dhidi ya Yanga SC umemalizika kwa Wananchi kuondoka na ushindi wa bao 1 lililofungwa na Prince Dube.

Wananchi Wa Kijiweni mmeuonaje mchezo wa Leo? Nani katisha zaidi?
Wengine hata hawana point wanakoment tu ujinga eti yanga inazidi kushuka kiwango ata ukimwambia kipofu haez kukuelewa
 
Young Teflon

Mgeni
May 2, 2024
6
2
6
Boko dovya
Kabla huja nyoosha kidole kumkejeli kilema kwanza zingatia ulemavu wa akili ulionao.

Ukianzia upangaji wa kikosi tu ulionyesha heshima ya game ya away. 4 difenda tena ambao hawakuwa na mikimbio mingi mbele. What a plan. Makosa yalikuwepo ila yasio na athari.

This is champion campaign lazima akili nyingi zitumike, sio lazima kufurahisha genge kila wakati kusanya alama then go.

🔰 Vamos champs.