FT : CS Constantine 2 Simba SC 1 | Una Kipi Cha Kuzungumza Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
468
623
125
Wekundu wa Msimbazi wamepoteza Mchezo Wa kwanza wa makundi kombe la Shirikisho Afrika baada ya kukubali kichapo cha bao 2:1 Kutoka Kwa CS Constantine

Una Kipi Cha Kuzungumza Mwana Kijiweni?
 
sylvia

Mgeni
May 22, 2024
10
7
5
Wekundu wa Msimbazi wamepoteza Mchezo Wa kwanza wa makundi kombe la Shirikisho Afrika baada ya kukubali kichapo cha bao 2:1 Kutoka Kwa CS Constantine

Una Kipi Cha Kuzungumza Mwana Kijiweni?
Mechi ilikua nzuri kilichotushinda ni kutokua shap kama wao ila kwa mkapa atoki mtu tutamkanda
 
  • Like
Reactions: Bernard Bruno
Dec 8, 2024
1
1
5
Simba sport clab ni timu kubwa na sisi atujafungwa ila tumewapa zawad ya goli huko kwao maan tulienda kama wangeni,, Sasa kifuatacho waje Benjamin mkapa kitaelewekaa
 
  • Like
Reactions: fidelis njau

Hassani juma mlowezi

Mpiga Chabo
Dec 8, 2024
17
0
0
Wekundu wa Msimbazi wamepoteza Mchezo Wa kwanza wa makundi kombe la Shirikisho Afrika baada ya kukubali kichapo cha bao 2:1 Kutoka Kwa CS Constantine

Una Kipi Cha Kuzungumza Mwana Kijiweni?
Hiyo ni misiteki ndogo to iliyo tokes kazini kwa sababu simba wafenyaj misiteki ndogo to nazani kwa kichapo hicho watajilegibisha wapi wanapo kosea to
 
This time tomorrow

Mpiga Chabo
Dec 8, 2024
3
0
0
Wekundu wa Msimbazi wamepoteza Mchezo Wa kwanza wa makundi kombe la Shirikisho Afrika baada ya kukubali kichapo cha bao 2:1 Kutoka Kwa CS Constantine

Una Kipi Cha Kuzungumza Mwana Kijiweni?
Kiko wapi hahaha kazi kuisimanga yanga tu,, wanasemaga usimtukane mamba ungali bado hujavuka mto ndo simba sasa