tuseme wote tumefungwa ugenini ayawe una point ngap za nyumbanMagoli tumewapangia sisi wenyewe na mzigo tuubebe tu na kujipanga upya na kurekebisha makosa yaliyofanywa na wachezaji kama ahoua na hamza

Kinachoniumiza zaidi na matokeo ya leo yani simb kafunga goli zote tatu alap point anapewa mwalabu duh zile ni figisuWekundu wa Msimbazi wamepoteza Mchezo Wa kwanza wa makundi kombe la Shirikisho Afrika baada ya kukubali kichapo cha bao 2:1 Kutoka Kwa CS Constantine
Una Kipi Cha Kuzungumza Mwana Kijiweni?
Kinachoniumiza zaidi na matokeo ya leo yani simb kafunga goli zote tatu alap point anapewa mwalabu duh zile ni figisu
alafu
AIBU CLUB ZOTE MBILI HAZIKUFANYA VIZURI INSHAA MARUDIANO NAWATAKIYA KILA LA KHERI YOUNG AFRICAN NA SIMBA SPORTS CLUB WAA TANZANIA TUWE PAMOJA KIMA TAIFAWekundu wa Msimbazi wamepoteza Mchezo Wa kwanza wa makundi kombe la Shirikisho Afrika baada ya kukubali kichapo cha bao 2:1 Kutoka Kwa CS Constantine
Una Kipi Cha Kuzungumza Mwana Kijiweni?
AIBU CLUB ZOTE MBILI HAZIKUFANYA VIZURI INSHAA MARUDIANO NAWATAKIYA KILA LA KHERI YOUNG AFRICAN NA SIMBA SPORTS CLUB WAA TANZANIA TUWE PAMOJA KIMA TAIFAWekundu wa Msimbazi wamepoteza Mchezo Wa kwanza wa makundi kombe la Shirikisho Afrika baada ya kukubali kichapo cha bao 2:1 Kutoka Kwa CS Constantine
Una Kipi Cha Kuzungumza Mwana Kijiweni?
Simba bhana wamejifunga wenyewe Wala hawakukukubali kichapo Cha cs Constantine kwhy Simba amejichapa mwenyeweWekundu wa Msimbazi wamepoteza Mchezo Wa kwanza wa makundi kombe la Shirikisho Afrika baada ya kukubali kichapo cha bao 2:1 Kutoka Kwa CS Constantine
Una Kipi Cha Kuzungumza Mwana Kijiweni?
Kwanza ni jambo la kumshukuru MUNGU kwa hatua hii tuliyofika na pili tujipange na mechi zijazo wanasimba tunaweza tuwe na imani na timu YETUSimba sport clab ni timu kubwa na sisi atujafungwa ila tumewapa zawad ya goli huko kwao maan tulienda kama wangeni,, Sasa kifuatacho waje Benjamin mkapa kitaelewekaa
Vp nyie mshajipanga na msimu mwingine maana msimu huu mnatia aibu tuuWajipange kwa msimu mwingime