FT : CS Sfaxien 0 Simba SC 1 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Wekundu wa Msimbazi wanaondoka na alama 3 muhimu ugenini Kwa bao la kwake Jean Charles Ahoua na kufikisha alama 9 katika kundi lao Kombe la Shirikisho Afrika

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
 

tinah

Mpiga Chabo
Nov 11, 2024
8
2
0
Kweli Leo mchezo ulikuwa mgumu simba wamepambana na tumechukua points tatu muhimu ni jambo la kumshukuru mungu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 

mbuguni19

Mpiga Chabo
Dec 30, 2024
3
0
0
Kundi Bado gumu lakini simba amebakiwa na mchezo mmoja wa maamuzi ya kufuzu lazima.naiamini sana simba katika game yake dhidi ya bravos UBAYA UBWELA