FT : Dodoma Jiji FC 0 Yanga SC 4 | Una Kipi Cha Kuzungumza Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Dodoma Jiji Dhidi Ya Yanga SC umemalizika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma huku wananchi wakiondoka na alama 3 muhimu katika mchezo wa Leo wakifunga Magoli 4

Wafungaji :

⚽⚽ Mzize
⚽ Aziz Ki
⚽ Dube
 

Aidan MD🇹🇿

Mpiga Chabo
Dec 25, 2024
1
0
0
Mwanza
Mchezo ni mzuri kwa upande wa Yanga lakini pia Mwalimu anahitaji kufanya baadhi ya marekebisho madogo madogo yanayotokea hasa hasa katika nafasi ya ushambuliaji ili "Gusa tembea twende kileleni" ifane zaidi ya gusa tembea twende kwao.