FT : DR Congo 1 Tanzania 0 | Taifa Stars Wafanye Nini Mechi Ya Marudiano Wiki Ijayo?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
344
473
25
Mchezo wa kufuzu AFCON 2025 kati ya DR Congo Dhidi ya Tanzania umemalizika Kwa Tanzania kupoteza Kwa bao 1 Kwa sifuri

Taifa Stars Wafanye Nini Mechi Ya Marudiano Wiki Ijayo?
 
  • Like
Reactions: Michael Katabi

Komba

Mpiga Chabo
Oct 10, 2024
1
0
0
Mchezo wa kufuzu AFCON 2025 kati ya DR Congo Dhidi ya Tanzania umemalizika Kwa Tanzania kupoteza Kwa bao 1 Kwa sifuri

Taifa Stars Wafanye Nini Mechi Ya Marudiano Wiki Ijayo?
Kocha nae anazid kila cku wachezaj wengine Tim inakosa muunganiko next mech aongeze viungo Tim Leo imebebwa na mabeki wamefanya kaz xana Ila Kati na kule mbele ni utumbo 2
 
Saidy

Mgeni
Jun 5, 2024
103
21
5