FT : DR Congo 1 Tanzania 0 | Taifa Stars Wafanye Nini Mechi Ya Marudiano Wiki Ijayo?

Mwanakijiwe

Mpiga Chabo
Oct 11, 2024
1
0
0
Mchezo wa kufuzu AFCON 2025 kati ya DR Congo Dhidi ya Tanzania umemalizika Kwa Tanzania kupoteza Kwa bao 1 Kwa sifuri

Taifa Stars Wafanye Nini Mechi Ya Marudiano Wiki Ijayo?
Maandalizi matsuri. Waamini wakongo tuliowaona ni wa kawaida na wanafungika. Mpira uchezwe kwa kushambulia na kujilinda.