Mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika kati ya FC Bravos dhidi ya Simba umemalizika kwa Sare ya goli 1 Kwa 1 Magoli Yakifungwa Na : Abednego mchezaji wa Bravo pamoja na Ateba mchezaji wa Simba. Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?