FT : FC Bravos 1 Simba SC 1 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika kati ya FC Bravos dhidi ya Simba umemalizika kwa Sare ya goli 1 Kwa 1

Magoli Yakifungwa Na :

Abednego mchezaji wa Bravo pamoja na Ateba mchezaji wa Simba.

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?