FT : KenGold 0 Yanga SC 1 | Una Kipi Cha Kuzungumza Mwananchi Wa Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
466
620
125
FT : KenGold 0 Yanga SC 1 | Una Kipi Cha Kuzungumza Mwananchi Wa Kijiweni?

Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) Kati ya KenGold Dhidi ya Yanga uliochezwa katika uwanja wa Sokoine Umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na alama 3 katika Jiji la Mbeya

Una Kipi Cha Kuzungumza Mwananchi Wa Kijiweni?
 

Young Teflon

Mgeni
May 2, 2024
13
5
6
Boko dovya
Akili nzuri na utulivu walio uonesha KEN GOLD they deserve to be respected.
What a low block 😔
yeah walijua wanacheza na nani "what a plan" tufungwe ila tusifungwe-fungwe 🤝.
Point 3 kwa YANGASC njia bado ni ndefu na ina chaka kubwa la kufyeka, huitaji nguvu tu, ila akili pia.
Ila boka afungwe speed gavana kbx yeah 😂