FT : KMC FC 1 Yanga SC 6 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
545
712
125
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliochezwa katika uwanja wa KMC umemalizika Kwa Wananchi kuondoka na alama 3 baada ya kuwafunga klabu ya KMC Mabao 6 Kwa 1.

WAFUNGAJI

⚽ Dube
⚽⚽ ⚽Aziz Ki
⚽ Nzengeli
 

Ibrah Classic

Mpiga Chabo
Feb 14, 2025
1
0
0
Shida Mimi nilibetia correct score 0:6 nashangaa mkeka umechanika mapema kisa Hawa Yanga wamenizingua kweli Yan Odds 58 kwa mechi moja nilitia buku 5. Nitailaani Yanga na Kmc cku zote
 

Rama kanda

Mgeni
Feb 14, 2025
3
2
5
Mechi ya mchongo kbsa kila timu iliyozaminiwa na gsm yanga anashnd nyingi ila sasa angalia tabora, jkt, azam wanakuf 2, punguzeni kununua mechi
 
  • Like
Reactions: sammiel05

𝐜𝐚𝐫𝐨

Mpiga Chabo
Feb 14, 2025
2
0
0
𝐔𝐳𝐮𝐫𝐢 𝐲𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐡𝐚𝐰𝐚𝐧𝐚𝐠 𝐡𝐚𝐛𝐚𝐫𝐢 🤐𝐧𝐝𝐨 𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐲𝐞𝐭𝐮 🤣🤣𝐤𝐮𝐨𝐧𝐠𝐞𝐚 𝐰𝐚𝐨𝐧𝐠𝐞𝐞 𝐰𝐧𝐠𝐧 𝐦𝐩𝐢𝐫𝐚 𝐦𝐳𝐮𝐫 𝐛𝐫𝐚𝐯𝐨𝐨𝐨𝐨 𝐦𝐚 𝐭𝐞𝐚𝐦
 

sammiel05

Mgeni
Feb 2, 2025
4
3
5
kwe
𝐔𝐳𝐮𝐫𝐢 𝐲𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐡𝐚𝐰𝐚𝐧𝐚𝐠 𝐡𝐚𝐛𝐚𝐫𝐢 🤐𝐧𝐝𝐨 𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐲𝐞𝐭𝐮 🤣🤣𝐤𝐮𝐨𝐧𝐠𝐞𝐚 𝐰𝐚𝐨𝐧𝐠𝐞𝐞 𝐰𝐧𝐠𝐧 𝐦𝐩𝐢𝐫𝐚 𝐦𝐳𝐮𝐫 𝐛𝐫𝐚𝐯𝐨𝐨𝐨𝐨 𝐦𝐚 𝐭𝐞𝐚𝐦
kwendraaaaa
 

cardo

Mgeni
May 29, 2024
7
1
5
Kwanini huwa mnapendelea kupost comment nyingi za simba kuliko yanga.. baada ya goli la pili hamkupenda mkakaa kimya mpaka dakika ya 90. Mchezo wa simba huwa mnaenjoy zaidi
 

cardo

Mgeni
May 29, 2024
7
1
5
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliochezwa katika uwanja wa KMC umemalizika Kwa Wananchi kuondoka na alama 3 baada ya kuwafunga klabu ya KMC Mabao 6 Kwa 1.

WAFUNGAJI

⚽ Dube
⚽⚽ ⚽Aziz Ki
⚽ Nzengeli
Wapendelevu, kwenye mechi za yanga comment za mchezo ni chache.. simba muda wote mnapost, mnazinguaaa
 

cardo

Mgeni
May 29, 2024
7
1
5
Naonaga baada ya yanga kuongoza, huwa hamtumii tena chochote kinachohusu, mpaka afungwe au droo.. acheni usimba..post kila detail za timu zote kwa usawa