FT : Mashujaa FC 0 Simba Sc 1 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
466
619
125
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Mashujaa FC dhidi ya Simba SC umemalizika kwa Simba kuondoka na ushindi wa bao 1 kwa sifuri likifungwa na Mukwala

FT : Mashujaa FC 0 Simba Sc 1 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?
 
Malaika

Mgeni
Sep 29, 2024
2
1
5
Waooo mpira ulikua mzuri timu ya mashujaa ni Timu nzuri wamepambana kiume. Hongera Simba timu yangu hata Sasa mmeweza
 
Donick

Mpiga Chabo
Nov 1, 2024
2
0
0
Ila Mungu alisema tusiwe na kujikatia tamaa ila usikubali uumie kabla hujaamin kukosa au kupata
 
Donick

Mpiga Chabo
Nov 1, 2024
2
0
0
Leo simba jmeonesha umwamba kwel aise I gekuwa ya zaman mechi ingeisha sare
 
Attachments

  • IMG_20240927_160240_324.jpg
    IMG_20240927_160240_324.jpg
    717.1 KB · Somwa: 3

expeliusi

Mgeni
Nov 1, 2024
1
1
5
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Mashujaa FC dhidi ya Simba SC umemalizika kwa Simba kuondoka na ushindi wa bao 1 kwa sifuri likifungwa na Mukwala

FT : Mashujaa FC 0 Simba Sc 1 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?
Wanazingua awo malefa wanaongezewa dakika 8 kwakuwataftia simba magol
 
  • Like
Reactions: AudaxRox

Mapi

Mpiga Chabo
Nov 1, 2024
1
0
0
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Mashujaa FC dhidi ya Simba SC umemalizika kwa Simba kuondoka na ushindi wa bao 1 kwa sifuri likifungwa na Mukwala

FT : Mashujaa FC 0 Simba Sc 1 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?
Kama atakutan na singida hana atakalo fanya
 
Baraka Emmanuel

Mpiga Chabo
Nov 1, 2024
1
0
0
Kiukweli nimwendelezo mzuri Kwa timu ya Simba japo bado Kuna madhaifu madogo madogo ambayo wanatakiwa kuyafanya kwenye kiwanja cha mazoezi bado wafungaji hawajawa na muunganiko mzuri nafasi zinatengenezwa nyingi ila uhakika wa mfungaji kuwa kwenye sehemu sahihi na kupachika mabao bado ni mdogo sana.
 
uncle P

Mpiga Chabo
Nov 1, 2024
1
0
0
Naona league ya bongo naanza kuwa kama ya england,,,, mana duh! Hakuna timu nyepesi,,,,, ni mwendo wa kuanguxha moja moja
 
Eddy de Jr

Mgeni
May 9, 2024
91
16
5
Mechi nzuri sema hizi timu ndogo zinakamia sana ikikutanaam na Simba Cox wanajua ndo fainali yao. But mwisho wa siku sokwe kaliwa.
 
øzil

Mpiga Chabo
Nov 1, 2024
1
0
0
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Mashujaa FC dhidi ya Simba SC umemalizika kwa Simba kuondoka na ushindi wa bao 1 kwa sifuri likifungwa na Mukwala

FT : Mashujaa FC 0 Simba Sc 1 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?
Kwa sasa league yet inaendelea kuwa bora asa kwa team niseme team za chin ukiach simb na yang wanapamban kutafuta ukubwa uliopo kwa vilab vyajuu