Sisi Simba tunaumia sana baada ya juhudi kubwa ya kupandisha soka la Tanzania viwango vya juu,kuna hizi teams (Yanga na Azam) zilizojiona bora kushiriki CafCL znafanya vibaya jambo linalorudisha tena nyuma mpira wetu... Mtani utafungwa sana mpaka wale mashabiki waliotaka Yanga icheze na malaika waombe radhi,Toba...