FT : NBC PREMIER LEAGUE SIMBA SC 3 TABORA UNITED 0 , Umeionaje Simba Ya LIGI KUU?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Klabu ya soka ya Simba imeanza Vyema kampeni zake za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) kwa ushindi wa mabao 3 Kwa 0 Dhidi ya Tabora United FC.

Wafungaji:
Che Malone Fondoh , Valentino Mashaka na Awesu Awesu

Una Lipi La kuzungumza Baada ya Mchezo huu?
 
Last edited:

Marwa 05

Mpiga Chabo
Aug 18, 2024
1
0
0
Hakika nawaambia.. tunadharaulika wanasimba kwa kauli za wanayanga za furahia kilele cha mafanikio yao misimu mitatu iliyopita, lakini mimi nawaambia, msimu huu tuna kikosi bora kama kile cha kina kagere, chama, miquissone na akina bwalya 2018. Just a matter of time.
 

Kimicha

Mpiga Chabo
Aug 18, 2024
1
0
0
Tabora hawajawatendea haki mashabiki. Tunajua sio wabovu kiasi kile na simba sio nzuri kiasi hicho. Naomba TFF wachunguze hii mechi. Kuna kitu kimefanyika
 

john d john

Mpiga Chabo
Jul 21, 2024
1
0
0
Timu ipo vzr ila baadhi ya wachezaj kama ahoua wanakosa usharp na maarifa ya kila tukio uwanjan ndo maan hata mukwala hatumuoni maan hakuna clear chance maker
Ila awesu ni mtu na nusu next super star in simba
 

MR. ULIZA

Mpiga Chabo
Aug 18, 2024
2
0
0
Endapo simba watatulia wakatambuana kunauwezekano mkubwa wakufanya vizuri msimu huu, kiwango walichonacho sio kibaya kunahitajika marekebisho kidogo tuu...
 

Manto

Mgeni
Aug 2, 2024
4
1
5
Simba imecheza vizuri saana leo hususan kwanzia safu ya ulinzi na kiungo,
Shida ipo pale mbele wanakosa umakini na kupoteza nafasi za was, hasa mkwala binafsi simwelew