Matokeo nimeyapokea vizuri, piah kuhusu timu ipo vizuri imecheza mpira vizuri, kikubwa tu waendelee kujitahd katika kutengeneza nafasi na kuzitumia maana ndizo za kukufanya ushinde.
Mechi nzuri, challenge nzuri Kwa wachezaji, Nina Imani technical bench watafanyia kazi makosa madogo pamoja na kufanya marekebisho machache kuelekea mechi kubwa zijazo.