FT : Simba SC 1 Bravos Do Maquis 0 | Umeuonaje Mchezo Wa Kwanza Wa Makundi Wa Kombe la Shirikisho Afrika Kwa Wekundu Wa msimbazi?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
422
552
125
Mchezo Wa Kombe la Shirikisho Afrika Hatua ya makundi kati ya Wekundu Wa msimbazi dhidi ya Bravos Do Maquis Kutoka Angola umemalizika Kwa wekundu wa msimbazi kutoka na Ushindi wa bao 1 kwa sifuri lililofungwa na Jean Ahoua Kwa Penati

Umeuonaje Mchezo Wa Kwanza Wa Makundi Wa Kombe la Shirikisho Afrika Kwa Wekundu Wa msimbazi?
 
  • Like
Reactions: Cesymath1985

Mabima

Mpiga Chabo
Nov 8, 2024
2
0
0
Bado ma-strikers wetu hawajapata utulivu,Mwalimu bado ana kazi ya ziada kuisaidia safu ya ushambuliaji,tusingepata ile penalt Ngoma ingeisha droo
 

WZR

Mgeni
Oct 25, 2024
4
1
5
Bravo sio ya kuizalau kikubwa pwenti 3 aijalishi tumeshinda ngap kwa sababu wale bravo kufika atua ya makundi ina maanisha ni wazuri kwaiyo kushukuru kwa ushindi
 

shafiiyassin

Mpiga Chabo
Nov 26, 2024
4
0
0
Mchezo Wa Kombe la Shirikisho Afrika Hatua ya makundi kati ya Wekundu Wa msimbazi dhidi ya Bravos Do Maquis Kutoka Angola umemalizika Kwa wekundu wa msimbazi kutoka na Ushindi wa bao 1 kwa sifuri lililofungwa na Jean Ahoua Kwa Penati

Umeuonaje Mchezo Wa Kwanza Wa Makundi Wa Kombe la Shirikisho Afrika Kwa Wekundu Wa msimbazi?
Camara 🔥 ndo maana halisi ya Simba Leo kuondoka na alama 3 iba performance ya wachezaji haikua mzuri next mech makosa yasijirudie
 

saisack

Mgeni
Sep 22, 2024
3
1
5
Mchezo Wa Kombe la Shirikisho Afrika Hatua ya makundi kati ya Wekundu Wa msimbazi dhidi ya Bravos Do Maquis Kutoka Angola umemalizika Kwa wekundu wa msimbazi kutoka na Ushindi wa bao 1 kwa sifuri lililofungwa na Jean Ahoua Kwa Penati

Umeuonaje Mchezo Wa Kwanza Wa Makundi Wa Kombe la Shirikisho Afrika Kwa Wekundu Wa msimbazi?
Very poor performance kwa simba, tumepata matokeo ndio lakini timu haieleweki inachezaje yaaan daah hata sielewi sijui kocha ama ni wachezaji vichwa vigum