FT : Simba SC 1 JKT Tanzania 0 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Penati ya Jean Charles Ahoua inawapatia alama 3 wekundu wa msimbazi kwenye mchezo wa leo dhidi ya JKT Tanzania

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
 
mkuyudan16

Mpiga Chabo
May 22, 2024
4
0
0
Jkt wamepambana congore kwa kiwango walichokionyesha.Sema principle ni ile ile mtoto halali na Hela 😁 tukutane mwakani
 
Dec 24, 2024
1
0
0
Penati ya Jean Charles Ahoua inawapatia alama 3 wekundu wa msimbazi kwenye mchezo wa leo dhidi ya JKT Tanzania

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
Tuna shida kubwa kwenye marefa wa mpira huu wa miguu hapa Tanzania 🇹🇿 kwanini msiache team hizi zishinde kwa mchezo wao wenyewe uwe mzuri ama ni wa hovyo ila, msiwa tafutie matokeo sijui tuna shindwa wapi kuweka mahaba ya team fulani pembeni na kuchezesha mpira kamili bila kupendelea yan hovyo'hovyo kabisa huo mchezo✍️
 
beno

Mgeni
Dec 19, 2024
3
1
5

Haha wangeshindwa simba bad ungeongea so ushazoelekee hivyo
 
  • Like
Reactions: Caefer

MissM

Mpiga Chabo
Dec 24, 2024
1
0
0
Simba yetu inabidi ibadilike bila penalty hatuwezi kabisa kwenye ukweli na hii penalty haikuwa penalty sema basi
 
Cori

Mpiga Chabo
Dec 24, 2024
1
0
0
Kwahiy hawa simba 🦁🦁 bila penati hawashindi si ndio?
Sio bila penati simba haishindi njoo na hoja ni penati ipi alipewa bure pili penati sio sehemu ya mpira? Je pigo la penati halimo katika sheria za mpira ukiweza kujua hayo utaelewa maoni yako na pili njee ya maswali hayo Kama team kuna namna yoyote ile kutafuta matokeo ndani ya uwanja ndani ya sheria 17 za mpira
 
mputu

Mpiga Chabo
Dec 24, 2024
2
0
0
Tuna shida kubwa kwenye marefa wa mpira huu wa miguu hapa Tanzania 🇹🇿 kwanini msiache team hizi zishinde kwa mchezo wao wenyewe uwe mzuri ama ni wa hovyo ila, msiwa tafutie matokeo sijui tuna shindwa wapi kuweka mahaba ya team fulani pembeni na kuchezesha mpira kamili bila kupendelea yan hovyo'hovyo kabisa huo mchezo✍️
Hata wew unaongea kwa mahaba pia maan kam ungekua mtu wampila usinge ongelea swala la mwamuzi kweny hii game
 
mputu

Mpiga Chabo
Dec 24, 2024
2
0
0
Sio bila penati simba haishindi njoo na hoja ni penati ipi alipewa bure pili penati sio sehemu ya mpira? Je pigo la penati halimo katika sheria za mpira ukiweza kujua hayo utaelewa maoni yako na pili njee ya maswali hayo Kama team kuna namna yoyote ile kutafuta matokeo ndani ya uwanja ndani ya sheria 17 za m
Kak sio kila mpenda mpira anajua izi sheria wengi wetu tupo tunaangalia limeingia gori tushangilie halijaingia tuwalaumu wachezaj ina bidi watu tuachane na hii mihemko nakuanza kuzungumzia na kufuatilia mpira kwa undan Kam tume amua kuwa Mashabiki wa mpira