FT : Simba SC 1 JKT Tanzania 0 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

ngunga

Mgeni
Dec 20, 2024
3
1
5
Tuna shida kubwa kwenye marefa wa mpira huu wa miguu hapa Tanzania 🇹🇿 kwanini msiache team hizi zishinde kwa mchezo wao wenyewe uwe mzuri ama ni wa hovyo ila, msiwa tafutie matokeo sijui tuna shindwa wapi kuweka mahaba ya team fulani pembeni na kuchezesha mpira kamili bila kupendelea yan hovyo'hovyo kabisa huo mchezo✍️
Lakini ilikua clear penalty mkuu
 
j.frank

Mgeni
Dec 8, 2024
2
1
5
Tuna shida kubwa kwenye marefa wa mpira huu wa miguu hapa Tanzania 🇹🇿 kwanini msiache team hizi zishinde kwa mchezo wao wenyewe uwe mzuri ama ni wa hovyo ila, msiwa tafutie matokeo sijui tuna shindwa wapi kuweka mahaba ya team fulani pembeni na kuchezesha mpira kamili bila kupendelea yan hovyo'hovyo kabisa huo mchezo✍️
Fanya uwe unachezesha wewe
 
Champion_

Mgeni
Sep 4, 2024
6
1
5
Tuna shida kubwa kwenye marefa wa mpira huu wa miguu hapa Tanzania 🇹🇿 kwanini msiache team hizi zishinde kwa mchezo wao wenyewe uwe mzuri ama ni wa hovyo ila, msiwa tafutie matokeo sijui tuna shindwa wapi kuweka mahaba ya team fulani pembeni na kuchezesha mpira kamili bila kupendelea yan hovyo'hovyo kabisa huo mchezo✍️
Kw iyo unatk kusem co penalt ile???
 
MRISHO HASSAN MRISHO

Mpiga Chabo
Dec 25, 2024
1
0
0
Kwangu mm shida naiyona TFF Kwamana Michezo mingi marefa ndo wanaharibu ila unakuta TFF wanakalia kimya Kama wanania thabiti yakutaka Ligi yetu ikuwee ingetungwa sheria ya marefarifi ambayo refa ukibainika na kosa Unafungiwe Mwezi Mzima na fainai Ya million Moja naimani sheria zingezingatiwaa
 
Grincher

Mgeni
Jul 31, 2024
41
5
5
Screenshot_20241224-075152.jpgTunaendelea kuunga watu kwenye group letu la mikeka.....
Hatuna fixed match...mikeka inafanyiwa uchambuzi na inakuwa salama
Ndo maana ya SAFEPICKS ✅ 🏆
WHATSAPP 0752800343
 
Abdul swamadu

Mpiga Chabo
Dec 25, 2024
1
0
0
Tuna shida kubwa kwenye marefa wa mpira huu wa miguu hapa Tanzania 🇹🇿 kwanini msiache team hizi zishinde kwa mchezo wao wenyewe uwe mzuri ama ni wa hovyo ila, msiwa tafutie matokeo sijui tuna shindwa wapi kuweka mahaba ya team fulani pembeni na kuchezesha mpira kamili bila kupendelea yan hovyo'hovyo kabisa huo mchezo✍️
ww inaonekana haujui mpila pale kunamapendeleo gani na wakati n penalty ya wazi inaonekana ila wabongo bhana🤔🤔
 
Bonmot

Mpiga Chabo
Dec 26, 2024
3
0
0
Tuna shida kubwa kwenye marefa wa mpira huu wa miguu hapa Tanzania 🇹🇿 kwanini msiache team hizi zishinde kwa mchezo wao wenyewe uwe mzuri ama ni wa hovyo ila, msiwa tafutie matokeo sijui tuna shindwa wapi kuweka mahaba ya team fulani pembeni na kuchezesha mpira kamili bila kupendelea yan hovyo'hovyo kabisa huo mchezo✍️
Sasa kuna mahaba gan apo wakat matukio mawili ya penati yametokea...
1: Kapombe kuvutwa
2: Mchezaj wa jkt kushika mpira
Wewe usipoyaona matukio kweny runinga usizan na refa hajaona.