FT : Simba SC 1 JKT Tanzania 0 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

Bonmot

Mpiga Chabo
Dec 26, 2024
3
0
0
Tuna shida kubwa kwenye marefa wa mpira huu wa miguu hapa Tanzania 🇹🇿 kwanini msiache team hizi zishinde kwa mchezo wao wenyewe uwe mzuri ama ni wa hovyo ila, msiwa tafutie matokeo sijui tuna shindwa wapi kuweka mahaba ya team fulani pembeni na kuchezesha mpira kamili bila kupendelea yan hovyo'hovyo kabisa huo mchezo✍️
Sasa kuna mahaba gan apo wakat matukio mawili ya penati yametokea...
1: Kapombe kuvutwa
2: Mchezaj wa jkt kushika mpira
Wewe usipoyaona matukio kweny runinga usizan na refa hajaona.
Tuna shida kubwa kwenye marefa wa mpira huu wa miguu hapa Tanzania 🇹🇿 kwanini msiache team hizi zishinde kwa mchezo wao wenyewe uwe mzuri ama ni wa hovyo ila, msiwa tafutie matokeo sijui tuna shindwa wapi kuweka mahaba ya team fulani pembeni na kuchezesha mpira kamili bila kupendelea yan hovyo'hovyo kabisa huo mchezo✍️
Ushabik weka pemben kwana