FT : SIMBA SC 2 APR 0 : Umeionaje Klabu ya Simba? Kipi kinatakiwa kuongezwa na ushauri wako ni upi Kwa Kocha Mkuu Fadlu Davis?

Aug 4, 2024
11
5
5
Mchezo wa kimataifa wa Kirafiki uliowakutanisha Simba SC Kutoka Tanzania dhidi APR FC Kutoka nchini Rwanda umemalizika Kwa Wekundu Wa Msimbazi kuondoka na Ushindi wa mabao

Umeionaje Klabu ya Simba?

Mchezaji Yupi amekuvutia?
Kipi kinatakiwa kuongezwa na ushauri wako ni upi Kwa Kocha Mkuu Fadlu Davis?
Mutale ndiye kanivutia zaidi na
klabu km itacheza kwa ushirikiano wa namna hii ktk ukabaji tutafanya vizur
Pia ushauri kwa kocha fadlu:aendelee kuwasoma wachezaj wake vzr katika mikimbio yao ili aweze kupata first 11 iliyo bora...haswa walioingia kipind Cha pili dkk za mwanzo ndo bora zaid
 

MC Danny FM

Mpiga Chabo
Jul 23, 2024
2
0
0
Fadlo davs kazi aliyobakiza hapa simba ni kutengeneza combination ya defenders na midfielder ambayo itapunguza mianya ya kuruhusu mashambulizi na magoli mengi