FT : Simba SC 2 Coastal Union 2 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
344
473
25
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Simba dhidi ya Coastal Union umemalizika kwa Sare ya mabao 2 Kwa 2

Wafungaji

⚽🦁M.Hussein
⚽ 🦁Ateba (P)
⚽ 🦊Abdallah
⚽🦊 Malonga

Umeuonaje Mchezo wa Leo una Lipi la kuzungumza mwana Kijiweni?
 
  • Like
Reactions: Niger and Toti 06

mr amon

Mgeni
Sep 4, 2024
3
1
5
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Simba dhidi ya Coastal Union umemalizika kwa Sare ya mabao 2 Kwa 2

Wafungaji

⚽🦁M.Hussein
⚽ 🦁Ateba (P)
⚽ 🦊Abdallah
⚽🦊 Malonga

Umeuonaje Mchezo wa Leo una Lipi la kuzungumza mwana Kijiweni?
Mimi nazan tatizo lipo kwenye bench la simba kuwa wao walikuwa wana taka wasitumie nguvu kubwa leo sababu hapo mbele kuna daby ila mambo yamegeukia uwanjani
 
  • Like
Reactions: Paul__Og77

#samwel

Mpiga Chabo
Oct 4, 2024
1
0
0
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Simba dhidi ya Coastal Union umemalizika kwa Sare ya mabao 2 Kwa 2

Wafungaji

⚽🦁M.Hussein
⚽ 🦁Ateba (P)
⚽ 🦊Abdallah
⚽🦊 Malonga

Umeuonaje Mchezo wa Leo una Lipi la kuzungumza mwana Kijiweni?
Japo ni matokeo lkn Simba wamezingua huu cyo muda wa kuanza kudondosha point