Kuna wakati tulikuwa tunajua kabisa akija mkubwa anakufa hata kwa mbinde mfano Al Ahly, Wydad na wengineo, tena ikija timu ya kiwango cha kati mnaipigia hesabu itakufa kwa magoli mangapi, lakini Simba ya leo unakaa unawaza hivi tutapata hata bao moja kweli?, tumekuwa timu ya homa za kupanda na kushuka, sasa imagine referee angemaliza game dakika zile zile zilizoongezwa sijui tungekuwa na hali gani. Timu haifanyi vizuri na hata wanapotaka kujaribu kufanya vizuri zaidi ndo wanaharibu (Mutale). Kiukweli jana kale kamcheza kwao hutunzwa ndo kametufeva vinginevyo tulishaaibika.
#NguvuMoja