Mutale, Mukwala, Kijili, Ateba, nina mashaka nao kwa kweli. Tangu aondoke Kagere hatujapata striker wa uhakika bado. Nadhan muda anaopewa Ateba angepewa Mukwala tungeshapata majibu sasa hivi. Mech kana hizi pia aanze Manula ili Camara apumzike.
Tatizo ni kuwa ikishapata ushindi anajiamini kabla ya mechi kuisha unakuta hawachezi kama itakiwavyo maana wanapoteza vingi sana na hata kukaribia kufungwa then ukiangalia timu waliyocheza nayo sio ya kuumiza kichwa ila yangemtokea ya costal union leo sijui me
Mimi ni shabiki wa Simba Sc Kwa mtazamo wa timu yangu mechi za hivi karibuni mchezo ambao tutakao fungwa ni mchezo ambao atayocheza Elia mpanzu Kwa mara ya Kwanza akiwa na Simba Sc