FT : Simba SC 3 Namungo FC 0 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Una Lipi la Kuzungumza Mwekundu Wa Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
466
619
125
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Simba SC dhidi ya Namungo FC umemalizika Kwa Wekundu Wa Msimbazi kuondoka na Ushindi wa mabao 3 kwa 0 Magoli yakifungwa na Shomari Kapombe, Leonel Ateba na Debora Fernandez Mavambo.

Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Una Lipi la Kuzungumza Mwekundu Wa Kijiweni?