FT : Simba SC 3 Tanzania Prisons 0 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

Giant

Mgeni
Jan 2, 2025
8
1
5
Siku zote mpira wa simba unajulikana baada ya kupata goli na kujihakikishia kuwa timu pinzani haiwezi rudisha hizo goli wao wamekuwa watu wa kutaka kumiliki sana mpira,ndio maana umeona kipindi Cha pili wamemiliki tu mpira na kurudisha rudisha kwa golikipa
 

Bryson Simon

Mpiga Chabo
Feb 12, 2025
1
0
0
Kutoka uwanja wa KMC hapa Mwenge jijini Dar Es Salaam, wekundu wa Msimbazi wanaondoka na alama 3 muhimu na kurudi kileleni Kwa kuwafunga Tanzania Prisons goli 3 Kwa 0

WAFUNGAJI
⚽ Ahoua
⚽ Mpanzu
⚽ Chasambi

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
Mchezo ulikuwa mzuri sana kwani simba walicheza katika kiwango kizuri na kupelekea kupata ushindi