Mukwala bado haja onyesha kituMchezo wa Ligi Kuu Ya NBC kati ya klabu ya Simba dhidi ya klabu ya Fountain Gate umemalizika kwa Simba kuondoka na ushindi wa mabao 4 kwa sifuri
Umeionaje Simba ya Kocha Fadlu Davis? Unadhani kipi kinatakiwa kufanyiwa kazi zaidi na benchi la ufundi?
Wafungaji :
Balua
Mukwala
Ahoua
Mashaka