FT : Singida BS 0 Simba SC 1 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Singida Black Stars wanakubali kichapo cha bao 1 kwa sifuri kutoka kwa Simba bao la kwake Fabrice Ngoma na kuwafanya wekundu wa msimbazi kuendelea kujichimbia kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya NBC baada ya kupata alama 3 muhimu ugenini

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

Gf5L_A4XwAEbNqr.jpg
 
Last edited:

gihsygiven

Mgeni
Sep 18, 2024
10
1
5
nawaona wazeee wa gusa achia twende shinda na mkono hawakosekan kusema marefa sasa amefanyaj au kona siyo hile , wao wamekuja kam wanatak kutuua ila tumewavalisha sanda
 

ALEUCY KOMBA

Mpiga Chabo
Dec 28, 2024
1
0
0
Simba kamla chui chakushngza Chura analia ni wivu tu
Hata mim nashangaa sana mbona yanga wanateseka Sana shida nin Kama wao wamezidi wazee wafe peke yao sisi akuuuu na kagoma wetu team Bora wachezari Bora utatupita wapi sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👉👉👉👉👉👉 ole wako mpaka mseme na bado hamjasema
 

Pappi

Mgeni
Jul 23, 2024
11
2
5
Nyie ndo mnaharibu mpira mnaoamini kwnye visingizio na sio mpira.
Leo nimeshuhudia wachezaji na benchi la singida wakilalamika hadi kwenye matukio yasio na utata wowote na hii inatokea kwasabu ya hiyo mentality ya simba kubebwa.Kocha anashindwa kuimplement mpango wake kiwanjani anabaki akilalamika inakusaidia nini.
Lakini mwisho wa siku alietakiwa kushinda atashinda mechi zake kwa sababu ya ubora sio kubebwa.