Simba timu mbovu bado wajipange sana
hata ivyo tunatengeneza kikosi Bado mtasemaSimba timu mbovu bado wajipange sana
TumewalipiaNyuki wa Tabora wanakubali kichapo Cha bao 3 Kwa sifuri kutoka kwa wekundu wa Msimbazi mchezo ambao umechezwa katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mkoani Tabora
WAFUNGAJI:
![]()
Ateba
Kapombe
Shapita ndo maana kuna first elevenhata ivyo tunatengeneza kikosi Bado mtasema![]()
KweliNyuki wa Tabora wanakubali kichapo Cha bao 3 Kwa sifuri kutoka kwa wekundu wa Msimbazi mchezo ambao umechezwa katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mkoani Tabora
WAFUNGAJI:
![]()
Ateba
Kapombe
Hawa jamaa ndio maan hua wanafungwa sana na yanga maan naona wanawekeza kwa marefa zaid sasa izo hujum kwa yanga ni ndog sana yule refa nlimwona zidi ya jkt tena namwona kwa tabora asee bongo bdo sana kimpira japo takwim zinatubebaKweli
Mechi ya leo ilikuwa nzuri sana yaanNyuki wa Tabora wanakubali kichapo Cha bao 3 Kwa sifuri kutoka kwa wekundu wa Msimbazi mchezo ambao umechezwa katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mkoani Tabora
WAFUNGAJI:
![]()
Ateba
Kapombe
Walikuwa na mungu wao wange kula chuma 7Mechi ilikuwa nzur
JIran anaongoza ligi kwa masaaaKafungwa tabora wanateseka wengineee jamn tulieni Kila mmoja atacheza nae
Au sio sawa Simba bado anatengeniza teamSimba timu mbovu bado wajipange sana