FT : Tabora United 0 Simba SC 3 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
515
677
125
Nyuki wa Tabora wanakubali kichapo Cha bao 3 Kwa sifuri kutoka kwa wekundu wa Msimbazi mchezo ambao umechezwa katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mkoani Tabora

WAFUNGAJI:
⚽ ⚽Ateba
⚽ Kapombe
 
  • Like
Reactions: RUHI BOY