FT: Tabora United 2 Azam FC 1 | Umekionaje Kiwango Cha TABORA UNITED

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
468
623
125
Mabao mawili ya Heritier Makambo yanawapa alama 3 Tabora United mbele ya Azam Fc mchezo ambao umechezwa katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

Tabora Utd katika mechi 6️⃣ za mwisho za Ligi Kuu ya Nbc 🇹🇿

✅ Tabora Utd 1️⃣ ➖ 0️⃣ Pamba Jiji
✅ Tabora Utd 1️⃣ ➖ 0️⃣ Mashujaa
✅ Yanga Sc 1️⃣ ➖ 3️⃣ Tabora Utd
🤝 Tabora Utd 2️⃣ ➖ 2️⃣ Singida Black Stars
✅ Kmc Fc 0️⃣ ➖ 2️⃣ Tabora Utd
✅ Tabora Utd 2️⃣ ➖ 1️⃣ Azam Fc

Umekionaje Kiwango Cha TABORA UNITED
 
Last edited:
  • Like
Reactions: Lord

MBEYA BOI

Mgeni
Oct 19, 2024
8
2
5
aaaah tabora haku mbaatisha supu fc .ila azam inaonekana alimbaatisha supu fc!!!kiukweri tabora yuko vzuri sana hongera mwalimu wa tabora benchi la ufundi na wachezaji !!!!!
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Lord

Mpiga Chabo
Dec 13, 2024
1
0
0
Mabao mawili ya Heritier Makambo yanawapa alama 3 Tabora United mbele ya Azam Fc mchezo ambao umechezwa katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

Tabora Utd katika mechi 6️⃣ za mwisho za Ligi Kuu ya Nbc 🇹🇿

✅ Tabora Utd 1️⃣ ➖ 0️⃣ Pamba Jiji
✅ Tabora Utd 1️⃣ ➖ 0️⃣ Mashujaa
✅ Yanga Sc 1️⃣ ➖ 3️⃣ Tabora Utd
🤝 Tabora Utd 2️⃣ ➖ 2️⃣ Singida Black Stars
✅ Kmc Fc 0️⃣ ➖ 2️⃣ Tabora Utd
✅ Tabora Utd 2️⃣ ➖ 1️⃣ Azam Fc

Umekionaje Kiwango Cha TABORA UNITED
Hawa jamaa wanaumiza vichwa matokeo bora kiwango bora wacha wapate matokeo tu
 
Masunga

Mpiga Chabo
Dec 13, 2024
5
0
0
Mabao mawili ya Heritier Makambo yanawapa alama 3 Tabora United mbele ya Azam Fc mchezo ambao umechezwa katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

Tabora Utd katika mechi 6️⃣ za mwisho za Ligi Kuu ya Nbc 🇹🇿

✅ Tabora Utd 1️⃣ ➖ 0️⃣ Pamba Jiji
✅ Tabora Utd 1️⃣ ➖ 0️⃣ Mashujaa
✅ Yanga Sc 1️⃣ ➖ 3️⃣ Tabora Utd
🤝 Tabora Utd 2️⃣ ➖ 2️⃣ Singida Black Stars
✅ Kmc Fc 0️⃣ ➖ 2️⃣ Tabora Utd
✅ Tabora Utd 2️⃣ ➖ 1️⃣ Azam Fc

Umekionaje Kiwango Cha TABORA UNITED
Imeiva vina wanajitaidi kfufua tm yao
 
Oct 22, 2024
5
1
5
Kiwango cha tabora ni kizuri sana lakini pia mcheo huo umewapa sana fundisho wapinzani wao azam... Naipongeza tabora kwa kushika nafasi ya 5