FT : Tanzania 0 Ethiopia 0 | Mna Lipi La Kuzungumza WAZALENDO 😅

Sizwaaa

Mpiga Chabo
Sep 4, 2024
1
0
0
Kocha leo kaenda kuikaba timu yeye mwenyewe angalau kipindi cha pili baadhi ya mabadiliko yameenda kuleta uhai ndani ya kikosi hususani mudathiri
 

Champion_

Mgeni
Sep 4, 2024
6
1
5
Kocha hakuw na upangaj wa kikos vzur imagin upo uwanj wa nyumban half unaingia kukab unashndw na tm ilokuwep ugenn inachez km ipo nyumban. Wakae wajitathmin kil kikos kloingia kpnd cha 2 atleast kmeonesha ktu
 

Munobwa

Mgeni
Sep 3, 2024
7
2
5
Muitenii yule mnae muitaa Ni mzee na Hana msaada kwa timu ya taifa.
Hivii wale walinzi wa kushoto ndo walikuwa mawinga?anyway ngojaa niendelee kula mgebhuka
 

Young jux

Mgeni
May 26, 2024
8
3
5
Wakulaumia sio wachezaji wala kocha wakulaumia ni TFF Kwa kuruhisu idadi kubwa ya wachezaji wa kigen nchin wazawa wanakaa benchi
 

Avida Premier

Mpiga Chabo
Aug 24, 2024
2
0
0
Wamejitahidi sana siku ya Leo,hope next time watafanya kitu Bora zaidi ya walichokifanya Leo....
Kikubwa wajiamini na wawe na utulivu wa akili na miguu uwanjani,wawe na maamuzi na matumizi sahihi ya nafasi zinazopatikana....