Wananchi wanapata alama 1 katika mchezo wa 3 wa makundi Ligi Ya Mabingwa Afrika baada ya kutoka Sare ya bao 1 Kwa 1.
Mna Kipi Cha Kuzungumza Wana KIJIWENI?
Kabisa Mungu ajalie match zijazo tupate matokeo mazuriKamdomo, kamdomo
Big up my team,
Kabisa Mungu ajalie match zijazo tupate matokeo mazuriKamdomo, kamdomo
Big up my team,
Kwa sisi ambao tunajua vyotee na mshaka sana na wewe adimin acha kila kitu katika haki goli la dube dak ya ngap sec je? Ke,lilikuwaje?? Hujapost poa asante sana...jitambue plsWananchi wanapata alama 1 katika mchezo wa 3 wa makundi Ligi Ya Mabingwa Afrika baada ya kutoka Sare ya bao 1 Kwa 1.
Mna Kipi Cha Kuzungumza Wana KIJIWENI?