FT : TP Mazembe 1 Yanga SC 1 | Mna Kipi Cha Kuzungumza Wana KIJIWENI?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
467
622
125
Wananchi wanapata alama 1 katika mchezo wa 3 wa makundi Ligi Ya Mabingwa Afrika baada ya kutoka Sare ya bao 1 Kwa 1.


Mna Kipi Cha Kuzungumza Wana KIJIWENI?
 
Last edited:

Mwamba

Mgeni
Dec 10, 2024
2
2
5
Still team inahitaji muunganiko toka kwenye zones zote tatu (kujilinda, kiungo na kushambilia) ila kila siku iprovements zinaonekana, pia fitness level ya yanga ipo chini sana

#daimambelenyumamwiko💚
 

Afromanking

Mpiga Chabo
Dec 14, 2024
1
0
0
Ushindi wa game zake zote zilizobakia ndio utampeleka hatua nyingine, vinginevyo... Out ila kwa nnavoona there iz no way for Young Africans
 

King255

Mpiga Chabo
Aug 21, 2024
3
0
0
Kama timu yako inapata matokeo Bora shangilia maana nilivyokuwa nafurah msimu wa jana dhidi ya Yanga na man City sahihi ni tofauti kabisa ila siwez kukata tamaa maan this is football game brothers ila yanga wachezaji wanajitahidi sana na kujituma ila kuna baadhi wamechoka mfano
1. Ki Aziz
2. Ki Aziz
3. Ki Aziz
Pia sio lazima kila game diarra aanze
Ahsante sana
 

njombe

Mpiga Chabo
Dec 14, 2024
1
0
0
Yanga hata hvo bado kazi wanayo hilo so goli la kujisifu hilo kosa kubwa ni kumfukuza kocha katikati ya ligi
 

Atman

Mgeni
Sep 11, 2024
4
2
5
Wananchi wanapata alama 1 katika mchezo wa 3 wa makundi Ligi Ya Mabingwa Afrika baada ya kutoka Sare ya bao 1 Kwa 1.


Mna Kipi Cha Kuzungumza Wana KIJIWENI?
Kwa sisi ambao tunajua vyotee na mshaka sana na wewe adimin acha kila kitu katika haki goli la dube dak ya ngap sec je? Ke,lilikuwaje?? Hujapost poa asante sana...jitambue pls