FT : Yanga SC 0 Al Hilal 2 | Umeuonaje Mchezo Wa Kwanza Wa Makundi Wa Ligi Ya Mabingwa Afrika Kwa WANANCHI?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
422
552
125
Mchezo Wa Ligi ya Mabingwa Afrika Hatua ya makundi kati ya Wananchi klabu ya Yanga dhidi ya Al Hilal Omdurman Kutoka Sudan umemalizika Kwa WANANCHI kupokea kipigo cha bao 2 kwa sifuri

Umeuonaje Mchezo Wa Kwanza Wa Makundi Wa Ligi Ya Mabingwa Afrika Kwa WANANCHI?
 
Alfa25

Mgeni
Nov 26, 2024
1
1
5

Kiukweli nampongeza san golikipa ya Al hilal kwa kazi kubwa aloyofanya.
Byee the way Ynga mjitahidi lakini angalieni msifukuze kocha tena.
Hahahahahahaha
Alfayo nikiwa Arusha tanzania
 
  • Like
Reactions: Paul__Og77

saverakishoke

Mpiga Chabo
Nov 26, 2024
1
0
0
Mchezo Wa Ligi ya Mabingwa Afrika Hatua ya makundi kati ya Wananchi klabu ya Yanga dhidi ya Al Hilal Omdurman Kutoka Sudan umemalizika Kwa WANANCHI kupokea kipigo cha bao 2 kwa sifuri

Umeuonaje Mchezo Wa Kwanza Wa Makundi Wa Ligi Ya Mabingwa Afrika Kwa WANANCHI?
kwa kweli Al Hilal wamecheza mpira.wamejituma sana
 
shafiiyassin

Mpiga Chabo
Nov 26, 2024
4
0
0
Mchezo Wa Ligi ya Mabingwa Afrika Hatua ya makundi kati ya Wananchi klabu ya Yanga dhidi ya Al Hilal Omdurman Kutoka Sudan umemalizika Kwa WANANCHI kupokea kipigo cha bao 2 kwa sifuri

Umeuonaje Mchezo Wa Kwanza Wa Makundi Wa Ligi Ya Mabingwa Afrika Kwa WANANCHI?
Kwanza hata sapot ya mashabiki kujitokeza uwanjani ni mbovu