Yanga hii unaifungaje!!!!! Hii ni kwa wale utopo hawawezi kutufungaNataka kuwasikia wanaosema yanga hii unaifungaje![]()
Yanga hii unaifungaje!!!!! Hii ni kwa wale utopo hawawezi kutufungaNataka kuwasikia wanaosema yanga hii unaifungaje![]()
Mm apaaNataka kuwasikia wanaosema yanga hii unaifungaje![]()
Mpira ndio ulivyo na matokeo ya mpira huwa katili sana kila mara.Dabi ya Dar Es Salaam imemalizika kwa Matajiri Wa Chamazi kuondoka na ushindi wa bao 1 Kwa 0 dhidi ya Yanga goli likifungwa na Gibril Sillah
Umeuonaje Mchezo Wa DABI Ya Dar Es Salaam? Una Kipi Cha Kuzungumza Mwana Kijiweni?
Ila mpira umechezwa dakik 100 hahahaNi matokeo ya mechi ,, mechi ni dakika 90 inshalaaah ni kujipanga na mechi ijayoo hasiyekubali cyo mshindani sisi tumekubali kushindwa na tunaendele na kupambana