FT : Yanga SC 1 Tabora United 3 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo ? Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
466
619
125
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya Tabora umemalizika Kwa WANANCHI kukubali kichapo Cha bao 3 Kwa 1 katika uwanja wa Azam Complex

Umeuonaje Mchezo Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?
 

Bkemfor

Mpiga Chabo
Nov 7, 2024
1
1
0
Kila kitu kina nafasi yake ... Kushindw kupo na kushinda kupo ukiona team kila... Muda inafunga pasipo kufunga ujue hiyo sio team...
 
  • Like
Reactions: Paul__Og77

Extansol

Mpiga Chabo
Nov 7, 2024
1
0
0
Kimsingi tulistahili kukumbusha, naona kama kocha ameishiwa mbinu sijui, bado kuna wachezaji hawataki kufanya kwa uwezo wao wa 100%.

Ila kinachoniuma ni mkeka wangu tu 😅
 

gihsygiven

Mgeni
Sep 18, 2024
8
1
5
ET HOOO PALE TUMEFUNGWA LAKIN PALE JUU TUMEBAK, MARA HOOO USHINDI WETU WA MOJA MOJA , HIVI MLIKUWEPO WAP WAKISEM DALL YA MVUA NI MAWING AN UNASHND MOJA MOJA UNATEGEMEA KILA SIKU ITAKUA HVYO , POLENI WANANCHI NAZAN MMEON JUU PALE KWA NAN
 

mariam lila jumbe

Mpiga Chabo
Nov 7, 2024
1
0
0
Maisha ni kupanda na kushuka yanga waache midomoo,
Haibu kubwa kwao Tim ndogo zimewalaza chari,watambue huu mpira hauhitaj makeke,
Mji umepowaaa,polen wanajangwani🤣🤣🤪🤪🤪