FT : Yanga SC 3 Mashujaa FC 2 | Una Kipi Cha Kuzungumza Mwana Kijiweni?

Chellah

Mpiga Chabo
Dec 19, 2024
2
0
0
Magoli 3 ya Prince Dube yanamfanya kuwa mchezaji wa kwanza wa NBC Premier League msimu wa 2024/2025 kufunga hattrick huku yakiipa Yanga alama 3 muhimu katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu

FT : Yanga SC 3 Mashujaa FC 2 | Una Kipi Cha Kuzungumza Mwana Kijiweni?

WAFUNGAJI :

⚽⚽⚽Dube
âš½ Ulomi
âš½ Stambuli
😂😂khomeiny bhana ananishinda tabia