FT : Yanga SC 4 Kagera Sugar 0 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
513
676
125
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga SC dhidi ya Kagera Sugar umemalizika kwa Wananchi 🔰 kuondoka na alama 3 pamoja na Magoli 4 .

WAFUNGAJI
âš½ Mzize
âš½ Mudathir
âš½ Pacome
âš½ Musonda

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
 
owiti

Mpiga Chabo
Feb 1, 2025
1
0

Kwa kwel kiporo Cha Leo kilikuwa kitamu sana
 
mr finisher

Mpiga Chabo
Feb 1, 2025
2
0
0
Mechi nzur na kila mtu alitegemea kuona yanga akishnda mech ila kama kagera angeshnda ile mech nazan ndio ingekua mjadala mkubwa zaid kwasabu yanga alikua na nafas kubwa ya kushnda mech coz yupo nyumban na pia anaquality players weng ambao wanaweza kuamua mech mda wowote tofaut na kagera so all in all hongera yanga kwa ushnd
4-0
 
Pongwe sa

Mpiga Chabo
Feb 1, 2025
1
0
0
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga SC dhidi ya Kagera Sugar umemalizika kwa Wananchi 🔰 kuondoka na alama 3 pamoja na Magoli 4 .

WAFUNGAJI
âš½ Mzize
âš½ Mudathir
âš½ Pacome
âš½ Musonda

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
Kidogo Yanga wamerudi mchezoni. Lakin Kagera Sugar wanasafari ndefu wasipobadilika watashuka daraja.
 
kacks

Mpiga Chabo
Dec 30, 2024
4
0
0
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga SC dhidi ya Kagera Sugar umemalizika kwa Wananchi 🔰 kuondoka na alama 3 pamoja na Magoli 4 .

WAFUNGAJI
âš½ Mzize
âš½ Mudathir
âš½ Pacome
âš½ Musonda

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
Kawaida tu ila ni gusa achia twende kilelen